Hii ilikuwa ni mechi ya marudiano kuwania kufuzu fainali za Afrika (AFCON) kwa soka la ufukweni, Tanzania ikipoteza kwa kichapo cha mabao 6-4 lakini imefanikiwa kufuzu fainali hizo kwa jumla ya mabao 12-9 kutokana na ushindi wa 8-3 iliyoupata katika mchezo wa kwanza.
Mechi zote mbili zimepigwa kwenye ufukwe wa Coco, Jijini Dar es Salaam.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
camisetas croacia a mayor selección de Camisetas de fútbol baratas está en eBay ✓ Compra equipaciones de fútbol y más al mejor precio ✓ ¡Con opción de envío gratis
Hizi zinamaliza mb tuuuuu
Burundi oyeeeeee
https://youtu.be/DGUJrBnbrTA
Sasa burundi tizi la beach wanapigaga wapi?
Hii ndio ya watano watano
Burundi 🇧🇮❤
Hili vumbi la wapi hili duh! 😂 😂
Duh