– Winga wa klabu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi amepima na kugundulika kuwa na …

– Winga wa klabu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi amepima na kugundulika kuwa na ugonjwa wa Corona, na kusababisha klabu yake ya kufunga sehemu zote za vituo vyao vya mazoezi baada ya janga hilo kuvamia Katika klabu yao… Kinda huyo ni mchezaji wa kwanza kutoka ligi kuu ya England kukutwa akiwa na ugonjwa ambao umeenea vilivyo ulimwenguni.
:
– Hudson-Odoi 19, ndiye mchezaji wa kwanza wa Ligi Kuu kuthibitishwa kuugua virusi, ambavyo vimesababisha kufungwa kwa ligi huko Uhispania, Italia na Ufaransa kwani Virusi hivyo vimetajwa kuwa ni janga la Dunia kwa mujibu wa Shirika la Afya Ulimwenguni «WHO».
..
– Premier League ilitangaza mapema Alhamisi kuwa mechi za wikiendi zitachezwa kama ilivyopangwa, ingawa mkutano uliitwishwa baadaye na vilabu kufuatia habari kwamba kocha mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amepatikana na ugonjwa huo… Brighton tayari wameahirisha mechi yao dhidi ya Arsenal, huku Chelsea safari yao ya kwenda Aston Villa lazima pia iko kwenye hatari kubwa ya kusitishwa baada ya klabu hiyo kuthibitisha habari hiyo..
#PremierLeague #ChelseaFC #CoronaVirus ✅🏌️✍
.
📍Follow @skysportspremier for more📍🏌️
.
.
.
.
.
.
#skysportsnews #skysportspremier #skysports #skysport #chemun #uefachampionsleague #uefa #uefachampionsleague2020 ⚽️🏆#epl #premierleague#premierleague #epl

Comprar Camisetas de Futbol Puedes comprar todas las camisetas oficiales de fútbol en futbolmania, la tienda de las mejores camisetas de fútbol – Devolución gratis.

Deja un comentario

Tu dirección de correo electrónico no será publicada. Los campos obligatorios están marcados con *