– Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amekuwa kocha wa kwanza wa Soka kukutwa na Viru…

– Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amekuwa kocha wa kwanza wa Soka kukutwa na Virusi vya Corona, na Sasa mchezo wa Premier league wa Klabu hiyo dhidi ya Brighton Jumamosi umeahirishwa… The Gunners wamefunga uwanja wao wa mazoezi na wafanyikazi wa klabu ambao walikuwa na mawasiliano ya hivi karibuni na Arteta sasa watajitenga… Premier League itafanya «mkutano wa vilabu wa dharura» leo Ijumaa kujadili mustakabari wa mechi nyingine..
:
– Baada ya kupima na kukutwa na Virusi hivyo, Arteta alisema «Hii inakatisha tamaa, Nilifanya vipino baada ya kujisikia vibaya. Nitakuwa kazini mara tu nitakaporuhusiwa»…. Arsenal inatarajiwa kuwa na «idadi kubwa ya watu» kujitenga, pamoja na «kikosi kamili cha timu ya kwanza»..
#Arsenal #PremierLeague #CoronaVirus ✅🏌️✍
.
📍Follow @skysportspremier for more📍🏌️
.
.
.
.
.
.
#skysportsnews #skysportspremier #skysports #skysport #chemun #uefachampionsleague #uefa #uefachampionsleague2020 ⚽️🏆#epl #premierleague#premierleague #epl

Camisetas futbol En TSC hemos probado tiendas de todo el mundo para poder recomendarte las mejores opciones para comprar camisetas de Futbol.

Deja un comentario

Tu dirección de correo electrónico no será publicada. Los campos obligatorios están marcados con *